Monday 13 August 2012

Re: [wanabidii] I shall die for Malawi – President Banda

Telesphor

Nchi yetu haichukulii mzaha tishio la nchi nyingine kuhusu mipaka! Kuna division nzima ya jeshi kwa sasa kati ya kyela na mto ruvuma! Wana uzoefu nchi ilivyogharamika zaidi kuikomboa ardhi hii kutoka mikono ya nduli! No more mistakes...vijana hamjui shida ya kurudisha eneo likishatekwa na adui!

Ndio raha ya kuwa kijana, hujui baba yako alijinyima mangapi kuweza kukupeleka shule na akanunua gari kwa wakati mmoja! Mfano wa mishahara wa waalimu ni irrelevant, sawa na kusema "baba naomba uninunulie benz" hujui bei na chuki za jamii!

Kuna uwanja wa ndege sasa unawekwa sawa ili squadron ya air force ipeleke ndege eneo la vita! Watu wengi hamjui show of force ina faida na hasara gani, kaeni mle kuku na chips! Hamjui Malawi wakiruhusiwa hata gesi ya mnazi bay haitachimbwa kwani Mozambique nayo inataka tunyoshe mipaka kufuata ruvuma river, ikimaanisha kuachia km 210 za mraba kwa Msumbiji?

Pigeni siasa na maneno hapa maana mnapata usingizi kwa kufanya hivyo, acheni utawala wa nchi ufanye kazi yake!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

-----Original Message-----
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 13 Aug 2012 11:01:54
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] I shall die for Malawi – President Banda

Nadhani Tanzania ndiyo iliyoanza kuthibitisha kupitia Samuel Sitta,
Bernard Membe na Lowassa. Ijumaa nilikuwa kijisehemu tunaongelea mambo
haya na jamaa mmoja akasema: "Natoka Mbeya kuna askari wanapelekwa
mpakani..." Niliogopa kusikia haya! Ila kama kuna watu wanapenda vita
wawe wa kwanza wao wenyewe kwenda kupigana na inakuwaje kama serikali
imekosa fedha za kuwalipa madaktari na walimu ipate fedha za
kugharamia vita (kama aliyosema huyo njemba wa Ijumaa ni kweli)?

On 8/13/12, Respich Mvukiye <mvukiye58@yahoo.com> wrote:
> NA TANZANIA IKISISITIZA MSIMAMO KAMA HUO WA BANDA ITAKUWAJE/
>
>
>
> ________________________________
> From: Anael Macha <kowiri@hotmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Sunday, August 12, 2012 3:15 PM
> Subject: Re: [wanabidii] I shall die for Malawi – President Banda
>
> Nimependa hapo pa "give and take"!
>
> Jumapili njema
>
> Sent from my iPhone
>
> On Aug 12, 2012, at 13:11, "Leila Abdul" <hifadhi@gmail.com> wrote:
>
>> Malawi President Joyce Banda on Saturday made an emotional declaration
>> that she shall die for the sake of her country, in what others see as
>> a defiant insinuation to the threats of war by Tanzania on the
>> ownership of Lake Malawi.
>>
>> Speaking at a Ngoni traditional festival in the northern district of
>> Mzimba on Saturday, Banda said emphatically in unrelated to the
>> function: "I shall die for the people of Malawi. I shall die for the
>> land of Malawi."
>>
>> The Malawi leader has not commented on the row with Tanzania.
>>
>> Tanzania has been warmongering on the standoff over oil and gas
>> exploration in Lake Malawi – also known as Lake Nyasa in Tanzania.
>>
>> But Malawi has been diplomatic on the issue and are arranging showdown
>> talks on August 20.
>>
>> The dispute of the third-largest fresh water resource in Africa has
>> escalated because Tanzania is demanding Malawi to halt exploration
>> activities granted to British company Surestream Petroleum for oil and
>> gas. Surestream is currently conducting an environmental impact
>> assessment.
>>
>> Meanwhile, a history and political science lecturer at the Malawi
>> Polytechnic, Simburashe Mungoshi suggests the dispute can only be
>> resolved by compromise.
>>
>> "When these boundaries were agreed upon by the British and Germans it
>> was a give and take game," said the lecturer on VOA.
>>
>> "The British had to give up claims in some territories in Tanganyika
>> area. Needless to say the Germans had also to give up. So in which
>> case, if Tanzania wants a change in boundaries it would be a give and
>> take. If they want something they must give something. Malawi is a
>> land locked country; we need access to the sea. May be they could give
>> us an equivalent piece of land to take us to the sea."
>>
>> Malawi insists the whole lake belongs to her and there is no way the
>> country can halt oil and gas exploration.
>>
>> A home to about 1,000 endemic species of fish Lake Malawi is located
>> at the junction of Malawi, Mozambique and Tanzania. It sustains nearly
>> 10 million people in these three countries.
>>
>> http://www.nyasatimes.com/malawi/2012/08/11/i-shall-die-for-malawi-president-banda/
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment