Monday 13 August 2012

Re: [wanabidii] I shall die for Malawi – President Banda

Hivi kama TZ ingesema haitambui umiliki wa maziwa makuu na nchi jirani ingekuwaje. Ina maana mpaka ufukwe wa nchi jirani zilizopakana na maziwa hayo makuu si ungekuwa wetu? Ugomvi mkubwa gani huo. Na kama mlima Kilimanjaro ambao Malkia wa Uingereza alimpa zawadi ya birthday Gavana wa Tanganyika akaweka ramani ukawa kwetu wenyewe wa hiyo nchi wangetaka ibadilishe mipaka kwa sasa ingekuwaje? Tunayo Marine Park Indian Ocean na tunajua samaki zinazaa hapo ndio ziende Mombasa, Mozambique, S.Africa. Tungeweka wigo kuzuia hizo samaki na kuachia wananchi wavue kwa nyavu haram wanaotegemea hizo samaki ingekuwaje. Hata samaki wao mkubwa (toka Mombasa) wa futi 300 (Potwe au Papa Usingizi-Whale Shark)anakuja kuzalia bongolandkwenye Marine Park kisha anarudi na watoto kwao na tunamlinda arudi salama na anasindikizwa. Huku TZ kuna Mbuga ya Mkomazi kenta kuna Tsavo na tunashirikiana kuweka wildlife corridor nyumbu na wengineo waende na kurudi. Tungejali ubinafsi tukampora Potwe na kumzuia asije au asirudi kwao au kufuia hao nyumbu etc ingekuwaje maana kwa mfano Potwe wao mkubwa sana kuliko wetu na watalii wanapenda kumpanda huyo samaki mgongoni na kuingizia kipato taifa letu.
 
Rais wa Malawi ajue kuwa, kuna wasio na ajira wetu na tumesahau mtutu muda mrefu, njaa hii kali dunia nzima itakimbilia huko Ruvuma vijana kula zoezi na tutajazana ndani ya Malawi mpaka vyooni, wasitutanie hawa. wapo watakaokufa dunia imewachosha hiyo kuingia jeshi kwa muda sababu tosha. Kwa sasa mbaya, vita kila kona.Hatutaki gharama hizo za maisha na vilema. Wamehongwa hela nini kuondoa kisiwa cha amani EA ili watusababishie vurugu? Tulidhania kuwepo na Rais Mama itakuwa nafuu na kufungua njia ya kusini au south corridor kwa biashara na utalii. Kumbe kaja KIGEGO ambae alikuwa haelewani na Rais aliyepita(Marehemu). Mama anakuja moto wa juu hajali uhai na usalama wa watoto na familia, anataka kuonyesha mfano gani Africa? Kwanza kukubali rasmi ushoga, na sasa anatafuta la kutafuta na jirani zake leo sisi kesho watafuata wengineo.Hata kiongozi Mwema mpendwa wetu Marehemu Gadafi alisema atakufia hapo, pia Idd Amin na wengineo lakini walijaribu kujifisha au kukimbia. Na huyo Konyi anayepigana na jina la Yesu/Mtume Issa mbona hajitoi akatubu dhambi jinsi anavyoua watoto, wamama na wengineo. Wa Liberia jee, mbona anakanusha kuua na aliowasababishia vilema kibao Ni wachache sana wanaojisifu watafia nchini mwaoa ajili ya nchi zao hubaki kweli au hufanya kweli. huanza kuhamisha mali, zinafuata familia kuhama anabaki yeye dakika za mwisho kutoroka. Budi akubali kushaurika ama sivyo wakama tutamfanyia maandamano Africa nzima. Moloni aliyetuwekea mipaka leo ndio anakuja kuchimba na kupiga ramani ya kuzoa raslimali aipe nchi moja tu. Ubalozi wa UK na nchi ya UK wahusike na hiyo kampuni yao.Makoloni wamekosa wamebakiza commonwealth sasa ndio wanataka kurudi kuanza kugida tena kutokana na uchumi nchini kwao kuwa na ukurutuwa matatizo ndio watugeuzie kibao? bado hayo masharti ya kiwizi ya EPA. tutumie busara, hatujafika mbali, tutaharibu hata hiki kidogo tulichojenga ambacho pia kina matatizo kibao. Asindwe na alegee!! Mungu atusaidie.

From: Respich Mvukiye <mvukiye58@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 13 August 2012, 8:48
Subject: Re: [wanabidii] I shall die for Malawi – President Banda

NA TANZANIA IKISISITIZA MSIMAMO KAMA HUO WA BANDA ITAKUWAJE/

From: Anael Macha <kowiri@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, August 12, 2012 3:15 PM
Subject: Re: [wanabidii] I shall die for Malawi – President Banda

Nimependa hapo pa "give and take"!

Jumapili njema

Sent from my iPhone

On Aug 12, 2012, at 13:11, "Leila Abdul" <hifadhi@gmail.com> wrote:

> Malawi President Joyce Banda on Saturday made an emotional declaration
> that she shall die for the sake of her country, in what others see as
> a defiant insinuation to the threats of war by Tanzania on the
> ownership of Lake Malawi.
>
> Speaking at a Ngoni traditional festival in the northern district of
> Mzimba on Saturday, Banda said emphatically in unrelated to the
> function: "I shall die for the people of Malawi. I shall die for the
> land of Malawi."
>
> The Malawi leader has not commented on the row with Tanzania.
>
> Tanzania has been warmongering on the standoff over oil and gas
> exploration in Lake Malawi – also known as Lake Nyasa in Tanzania.
>
> But Malawi has been diplomatic on the issue and are arranging showdown
> talks on August 20.
>
> The dispute of the third-largest fresh water resource in Africa has
> escalated because Tanzania is demanding Malawi to halt exploration
> activities granted to British company Surestream Petroleum for oil and
> gas. Surestream is currently conducting an environmental impact
> assessment.
>
> Meanwhile, a history and political science lecturer at the Malawi
> Polytechnic, Simburashe Mungoshi suggests the dispute can only be
> resolved by compromise.
>
> "When these boundaries were agreed upon by the British and Germans it
> was a give and take game," said the lecturer on VOA.
>
> "The British had to give up claims in some territories in Tanganyika
> area. Needless to say the Germans had also to give up. So in which
> case, if Tanzania wants a change in boundaries it would be a give and
> take. If they want something they must give something. Malawi is a
> land locked country; we need access to the sea. May be they could give
> us an equivalent piece of land to take us to the sea."
>
> Malawi insists the whole lake belongs to her and there is no way the
> country can halt oil and gas exploration.
>
> A home to about 1,000 endemic species of fish Lake Malawi is located
> at the junction of Malawi, Mozambique and Tanzania. It sustains nearly
> 10 million people in these three countries.
>
> http://www.nyasatimes.com/malawi/2012/08/11/i-shall-die-for-malawi-president-banda/
>
> --
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment