Tuesday 21 August 2012

Re: [wanabidii] HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA

Haki haipotei, inachelewa tu! Ile hongo ya "msipoichagua CCM
hamjengewi daraja...." ionekane! Mlifurahi na kuwashukuru watu baada
ya uonevu wote mliofanya kwa CHADEMA, ni muda wa kurudi vichwa chini,
mishale mkononi kwa aibu!!
Hofu yangu kwenye utekelezaji wa shughuli za kiserikali katika hilo
jimbo, na huyo hakimu aliyetafsir sheria baraabara. Zisiwe za visasi
tena mkawanyima wananchi wa watu maendeleo au mkam - magwepande hakim
wa watu.

Dr ni mshairi mzur sana. Nasubiri shairi zuuuri kuihusu mahakama,
manake sasa aijua ikoje na sote tumesikia maneno ya Lissu!
Hongera wananchi wa Igunga na CHADEMA.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment