Saturday 25 August 2012

Re: [wanabidii] HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA KUNA NINI?

Nico,

The same thing happened in Toronto to someone I know. She had a baby
by caeserian and 2 days later the thread came off. A careful
investigation narrowed the problem down to hygiene. The sewn area must
be kept very clean and clear of bacteria and germs. It has to be wiped
thoroughly with rubbing alcohol.

In a lot of such cases the doctors forget to give the patients proper
information on how to keep the wound area clean. Then bacteria gets
in, rots the sewn area and the threads come out. If tis one in Mt Meru
Hospital happened after 2 weeks, then that is what happened. Bacteria
rot the meat around the sewn area.
I hope they heal from that setback.

Courage,
Oduor Maurice




On 8/25/12, Nico Eatlawe <eatlawe@yahoo.com> wrote:
> Wapendwa,
>
> Leo nimesikia tena habari ya kusikitisha juu ya ama uzembe au kiwango cha
> chini cha upasuaji wa wazazi hospitali ya Mt Meru Arusha. Mimi kama mtu
> mmoja nina ndugu wawili waliojifungua kwa operesheni mwezi huu na zote mbili
> kufumuka na kurudiwa mara mbili. Wa kwanza alijifungua mtoto kwa upasuaji
> lakini baada ya wiki imefumuka hadi kurudishwa hospitali. Huyo wa pili
> kajifungua wiki na leo amerudishwa maana nyuzi zimefumuka tena. Ndugu
> aliyekuwa ananipa taarifa akawa anasema ni shetani. Nikamwambia siyo kweli
> kwa sababu mbona hospitali za binafsi hazifumuki? Kwanini iwe Mt Meru tu?
> Ndio nikasema ama ni uzembe au kukosekana kwa wataalam wa upasuaji. Hebu
> watu wa Arusha mtusaidie kufuatilia kujua kulikoni.
>
> Jamani naomba tusaidiani kujua kunani hospitali ya Mt Meru?
>
> Nico
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment