Wednesday 15 August 2012

Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA


Kwanini viwe vya Mkazi ambavyo inajulikana wazi kwa Watanganyika hatuna au vya kupiga kura ambavyo vyatolewa mara moja kila baada ya miaka mitano?

Mfano leo hii ukipoteza kitambulisho cha kura kukipata kingine ni mpaka 2015!!!!!!!!

The same way kama mwaka 2010 nilikosa Kadi ya kupiga kura either kwa kuwa nilikuwa sijafikisha umri wa 18 ( mathalan nilikuwa na miaka 17 na miezi 11 wakat wa kupiga kura) au nilikuwa nje ya nchi au kwa sababu yeyote ile hakuna namna yeyote ya kupata kitambulisho hicho hadi baada ya miaka mi5

Je hii ni haki kweli?

Leonard Mbotela alikuwa anasema " Je, Huu ni Uungwana?"

Why not vitambulisho vya kazi, NSSF, medical cards au hata kadi za benk zitumike kwa walionazo na si kulimit kweny kadi ya kura ( maana zoezi la NIDA hatujui litakamilika lini hivyo kutuambia tutumie vitambulisho hivyo wakat hata picha zetu hawana ni kiini macho kingine)?


Wakatabahu!


Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 15 Aug 2012 19:05:20 +0000
To: Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Tatizo liko wapi?
Kuna shida ya kuwatambua marehemu, waliopota na majeruhi kila inapotokea ajali, shida ambayo inaanzia kwenye tiketi ambako hakuna utambulisho rasmi unaofanywa. Katika nchi za wenzetu huwezi kukatiwa tiketi ya usafiri wowote bila kitambulisho. Sisi Tanzania bado hatuna vitambulisho rasmi lakini tuna kadi za mpiga kura na hivyo vitambulisho vya Zanzibar. Sasa Sumatra wakisema vitumike, tatizo liko wapi? Kama huna vyote hivyo, basi tumia pasipoti kama kitambulisho, jambo hata hapa Marekani linafanyika kwa maana ya nyaraka rasmi itolewayo na serikali. Hakuna tatizo hapa.
Matinyi.
 

Date: Wed, 15 Aug 2012 08:31:00 -0700
From: shivyawata@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
To: wanabidii@googlegroups.com

Kwa jinsi hii!
Kwa lugha nyepesi ni lazima uwe na passport ili uingie Zanzibar

Novat



From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, August 15, 2012 9:24 AM
Subject: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu Sumatra imetangaza kuwa
kwa raia yeyote anayetaka kwenda Zanzibar ni lazima awe na
kitambulisho ama cha Makazi, cha mkazi au kura ili upewe tiketi ya
kusafiria kwenda Zanzibar.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.





--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment