Wednesday 15 August 2012

Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Ndio, nimemsikia pia Mzanzibari aliyekuwa Bara akilalamika kwamba imekuwa tabu kurudi nyumbani kwake maana hakuwa amekuja Bara na kitambulisho. Hili lisijumuishwe na mambo ya Uzanzibari na Utanzania, walau katika sura ya walioliweka Sumatra. Nimemsikia David Mziray vizuri na anaeleweka kwa anayetaka kuelewa na asiyependa kupotosha. Hebu tuchukue vitambulisho vyetu kabla ya kusafiri. Hata cha kura, leseni, barua ya mjumbe ni bure - anayedai chochote peleka polisi au PCCB.
deus

From: Jesse Kwayu <jesse.kwayu@guardian.co.tz>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, August 15, 2012 5:19 PM
Subject: RE: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Utaratibu wa IDs unaanza ili:
i.                     Kupata majina halisi ya wanaosafiri
ii.                   Kusaidia meli/boti kuwa na passenger manifest
iii.                  Kusaidia kupunguza vishoka wa tiketi
iv.                 Kuwa na uhakika wa kutambua nani raia nani Mgeni katika vyombo vya usafiri
v.                   Kudhibiti uchakachuaji wa wamiliki wa vyombo vya usafiri wanokata tiketi kwa dhana kwamba chombo hakijai inayojaa ni ndoo ya maji
 Hatua hizi siyo kwa ajili ya kwenda Zanzibar tu hata kuja Bara.
Kama kawaida yetu tunaomba miezi minne kujiandaa kuwa na kitambulisho, yaani mtu anajiendea tu hana kitambulisho chochote na anaishi kwa raha zake.
Tuache kulalamika, tukubali kurekebisha kasoro katika mazoea ya utendaji na mienendo yetu.
Kila wakati ikitokea ajali kuna habari za kutatanisha juu ya idadi kamili iliyokuwako chomboni, siyo boti tu, hata mabasi. Mnakumbuka ajali ya wiki iliyopita ya Sabena Tabora, abiria zaidi ya 110 kwenye basi, utafikiri ni behewa la treni.
Guys lets be serious sometimes.
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of manonga2003@yahoo.com
Sent: Wednesday, August 15, 2012 6:58 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
 
Sio tu kwenda Zanzibar. Ni kwa wasafiri wote wanaotumia vyombo vya baharini ili kuwe na kumbukumbu iwapo kutatokea lolote. Kama kawaida yetu kufanya kazi kwa matukio. Hii ni kwa mujibu wa BBC.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: gm26may@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 15 Aug 2012 15:41:46 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
 
What about them coming to Mainland?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 15 Aug 2012 08:31:00 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA
 
Kwa jinsi hii!
Kwa lugha nyepesi ni lazima uwe na passport ili uingie Zanzibar
 
Novat
 
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, August 15, 2012 9:24 AM
Subject: [wanabidii] HAKUNA KWENDA ZANZIBAR BILA KITAMBULISHO CHA MKAZI AU KURA

Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu Sumatra imetangaza kuwa
kwa raia yeyote anayetaka kwenda Zanzibar ni lazima awe na
kitambulisho ama cha Makazi, cha mkazi au kura ili upewe tiketi ya
kusafiria kwenda Zanzibar.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

..................................................................................

Our company accepts no liability for the content of this email, or for the consequences of any actions taken on the basis of the information provided, unless that information is subsequently confirmed in writing. If you are not the intended recipient you are notified that disclosing, copying, distributing or taking any action in reliance on the contents of this information is strictly prohibited.

IPP Group of Companies, Dar es Salaam, Tanzania.

www.ippmedia.com
..................................................................................
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment