Sunday 5 August 2012

Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi

Nililojifunza mimi ni kuwa tujifunze kutunza siri za watu. Hata kama mtu ni Padri au Nabii akipata mambo ya watu sio kwenda kutangaza kwa wasiohusika. Vilevile huwezi kusema tu watu kuungama uchi eti ni imani. Tujue kuwa kuna imani aina  nyingi lakini imani ya kweli ni moja tu nayo ni ya kumwamini Yesu na kuishi sawa na mafundisho yake.

--- On Sun, 8/5/12, moses <mosesgasana@yahoo.com> wrote:

From: moses <mosesgasana@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Received: Sunday, August 5, 2012, 10:37 AM

Duh ni waumini gani hao wanaungama wakiwa uchi?

Sent from my iPhone

On Aug 5, 2012, at 3:11 PM, gm26may@gmail.com wrote:

Ndugu Weston!

Acha kuhukumu iman isiyo yako!

Kila mtu ana namna yake ya kuungama na anaamini ndio njia sahihi kutokana na iman yake!

Siku hizi kuna wachungaji ambao mpaka wanawaungamisha waumini kwa kuwaogesha wakiwa uchi wa mnyama, no uchi wa binadamu lakin yote hayo ni iman ya mtu na hata mwenye mke akikuta mkewe anafanyiwa maungamo kwa kuogeshwa anakuwa mpole asije kosa uponyaji

Tusijifanye tunazijua sana hizi iman tulizoletewa na wakolon wakati wanagawana utajili wetu

Dada Angela thanks a lot you have made my day!

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Date: Sun, 5 Aug 2012 03:01:41 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi

Angela,
Fundisho hapa ni kuwa tuache kuungama dhambi zetu kwa mwanadamu mwenzetu. Bali tuziungame kwa Mungu. Mwanadamu hata awe papa au nani bado ni mwanadamu ana udhaifu kama wanadamu wengine. Ahsante kwa kunifanya leo walau nitabasamu. Sikuwa na mpango wa kucheka leo.

--- On Sun, 8/5/12, Angela Kasonta <akasonta2002@yahoo.co.uk> wrote:

From: Angela Kasonta <akasonta2002@yahoo.co.uk>
Subject: [wanabidii] Fw: Tuwe Tunawahi
To: "Sebastian Warioba" <swarioba@yahoo.co.uk>, "Wanabidii Google group" <wanabidii@googlegroups.com>, "Upendo Shushu" <upendoshushu@hotmail.com>, kabuzyam@yahoo.com, "Andrew Ruta" <andytef@yahoo.com>, "Erick Mchome" <emchome2002@yahoo.com>, "Edith Sonje" <snj_dth@yahoo.com>, "Edmund Mark" <e_mark77@yahoo.com>, "Alex Maheri" <alexmaheri@yahoo.com>, "Mama Balatty ebalati@yahoo.co.nz" <ebalati@yahoo.co.nz>, "Nathalie Innocent" <nathalie_innocent@yahoo.com>, "asante mgeni" <asantemgeni@yahoo.com>
Date: Sunday, August 5, 2012, 1:53 AM

--- On Sat, 4/8/12, PERPETUA KISAMBA <pepekiss2004@yahoo.co.uk> wrote:

From: PERPETUA KISAMBA <pepekiss2004@yahoo.co.uk>
Subject: Fw: Tuwe Tunawahi
To:
Date: Saturday, 4 August, 2012, 23:33

Padri mmoja mzee alistaafu na wanaparokia walimfanyia sherehe kubwa. Katika sherehe hiyo, mbunge wa eneo hilo alipangwa kutoa hotuba ya shukurani ya kumuaga padri huyo kwa niaba ya wanaparokia wote. Bahati mbaya, mbunge alichelewa kufika .   
 
 Mc akamwomba padri aseme machache wakati wanamsubiri mheshimiwa mbunge. Padri hakujipanga kusema kitu lakini kwa kujitahidi, aliongea.
 
"Wapendwa, naikumbuka sana siku nilipofika katika kanisa hili kwa mara ya kwanza, ila nilipata mshangao siku nilipoanza kuungamisha. Mtu wa kwanza kabisa kumuungamisha alinishangaza sana. kwani alisema amemwibia bosi wake TV, amemwibia ndugu yake pesa za urithi, amezini na jirani yake, na pia katembea na house girl wake. Nikapata picha kuwa kumbe watu wa kanisa hili ndivyo walivyo, nikasikitika sana. Kumbe nilifikiria tofauti. Kwani baadaye nikakuta kumbe watu wa hapa ni wazuri sana na hawatendi dhambi mara kwa mara na ni wastaarabu sana".  
 
Mara mheshimiwa mbunge akawasili, padri akakatisha maongezi na mbunge akaanza kuhutubia. "Ndugu wapendwa, naomba mniwie radhi kwa kuchelewa kwani nilikuwa na majukumu makubwa ya kiserikali. Pia ninayo furaha kubwa kwa kunipa nafasi hii kuhutubia kwa niaba yenu. Mimi nina bahati sana kwani padri huyu alipokuja hapa, mimi nilikuwa mtu wa kwanza kwenda na kuungama kwake...   

Fundisho-tuwe tunawahi

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment