Monday 13 August 2012

Re: [wanabidii] FW: [TanzaniaCA] UPDATE ZA MICHANGO: TANGAZO LA MSIBA TORONTO, CANADA

Poleni sana. P.K.A Ritha

2012/8/13 Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>
Ndugu Wanabidii,
 
Habari zenu popote mlipo? Hapa Toronto tuna msiba. Someni hapa chini na tujaribu kusaidiana.
 
Ahsanteni sana.

Mabula Sabula

To:
From: ashioleng_ruwa@yahoo.com
Date: Sun, 12 Aug 2012 20:07:11 -0700
Subject: [TanzaniaCA] UPDATE ZA MICHANGO: TANGAZO LA MSIBA TORONTO, CANADA

 
Wanandugu,

Wasalamu,

Nimepokea jukumu la kutoa taarifa za maendeleo ya michangi ya kumsafirisha dada yetu Fatima (Ritha).

Hadi sasa hali ya michango ni kama inavyojieleza hapo chini kwenye jedwali.  Asanteni kwa nguvu na jitihada zote hadi sasa.  


Watoaji
Contributors
Fedha zilizopokelewa
Cash In Hand
Ahadi
Pledges
Julma
Total
Toronto
$ 8,288.00
$ 2,200
$ 10,488.00
Edmonton
$ 2,200.00
 
$   2,200.00
Grand Total
$ 12,688.00

Shime ndugu zanguni, bado tunahitaji kufikia lengo la kumwezesha mume wa marehemu aweze mwona MWALI wake kwa mara ya mwisho huko Tanzania.  Kwa kifupi Fatima aliolewa mwisho ni mwaka jana na mumuwe bado alikuwa nyumbani Tanzania.  What a gift we will give if we will all unite and send her home for the husband to see her again.

YEs WE CAN!

See more details below or in the attachment how you can help!

Spread the news

Lek
-----------------------

Familia ya Bwana na Bibi Fredrick Kaduma wa Kimara-Dar-es-salaam,Tanzania na watanzania waishio Toronto,Canada  wanasikitika kutangaza kifo cha  mpendwa wao,Ritha Kaduma (Fatima) (pichani) kilichotokea hapo jana tarehe 9th August, 2012  hukoToronto,Canada.
 
Fatuma au Rita amefikwa na mauti katika hospitali ya St.Michael's ya Toronto alipokuwa amelazwa kwa muda mfupi. Taratibu na mipango ya  kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania kwa mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu alipokuwa akiishi na kaka yake huko huko Toronto, Canada.

Ukiwa kama mtanzania,ndugu,jamaa au rafiki,popote pale ulipo, unaombwa kuchangia fedha,hali na mali kwa ajili ya kuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani kwa mazishi mapema kadri iwezekanavyo kwani kama wengi wenu mnavyofahamu, mwili unavyozidi kukaa Funeral-Home,gharama ndivyo zinavyozidi kuongezeka.

Mwili utasafirishwa punde tu zitakapopatikana fedha za kutosha kwa ajili ya kulipia gharama husika. Gharama zimekadiriwa kufikia kiasi cha $24,000 ambazo zinajumuisha kuutayarisha mwili,kuutunza na kuuhifadhi na pia kuusafirisha mpaka nyumbani Tanzania.

Unaweza kutuma kwa Western Union au Monegram. Pia unaweza kutuma mchango wako kwenye Account maalumu ya wafiwa, leta email  ashioleng_ruwa@yahoo.com kupata details za account kama ifuatavyo - :

BANK : RBC (Royal Bank of Canada)
Account Holder:  xxxxx
ACCOUNT NUMBER: xxxxx
TRANSIT NUMBER: xxxxx
INSTITUTE NUMBER: xxxxx

SWIFT CODE: xxxxx


Vilevile unaweza kutumia E-mail Money Transfer kwenye anuani pepe ya Levina Kahumba ashioleng_ruwa@yahoo.com (Levina ana access ya Bank account hapo juu na atasaidia katika kutoa taarifa zote za mapato na matumizi kwa ajili ya shughuli hii).  Tafadhali kumbuka kuna underscore sign _ kati ya ashioleng and ruwa yaani ashioleng_ruwa kisha ndipo unamalizia na @yahoo.com
 
Pia unaweza kuwakilisha msaada wako kwa kutumia anuani hii:
5-7 DRIFTWOOD CRESCENT
NORTH YORK,ONTARIO 
M3N 2R1

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:

Kaka yake Fatuma (Issa) kwa nambari hii-647-760-1051.
Flora-  647-622-6361
Emmanuel - 416-835-6778.
Gabriel 416-631-7762.

Kwa upande wa nyumbani Tanzania, tafadhali wasiliana na Fred Kaduma kupitia nambari 0655-888268 kwa taarifa zaidi.

Tafadhali chukua muda kuwafariji na kuwaombea ndugu,jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huu. Tunatanguliza shukrani kwa misaada yote iliyotolewa na itakayotolewa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.  Amen.


__._,_.___
Recent Activity:
    .

    __,_._,___

    --
    Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
    Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
    Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
     
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
     
    Disclaimer:
    Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
     
     



    --
    Nicomedes M. Kajungu
    P.O.Box 7520, Mwanza.
    Cel: +255 782 315 688,
            +255 767 48 32 71,
            +255 719 451 850

    Email: nicomedes76@gmil.com
    Skype add: nkajungu

    --
    Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
    Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
    Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
     
    Kujiondoa Tuma Email kwenda
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
     
    Disclaimer:
    Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
     
     

    0 comments:

    Post a Comment