Sunday 12 August 2012

Re: [wanabidii] Congrats East Africans for winning London 2012 Marathon

Anayeweza kulaumu wachezaji wetu ni mpambavu tu! Waulizeni kwamba walikuwa kambini miaka mingapi? Wenzetu walikuwa na maandalizi miaka 4 iliyopita. Sisi ni zimamoto tu hata kwenye mpira! Anayetaka kuwalaumu kwanza akafanye utafiti kwamba wachezaji wa Kenya wanaandaliwaje? Halafu aende Jamaica, UK, China nk ndio sasa tumgundue mchawi anayeua michezo Tanzania. Kama ni sifuri basi ni ya nchi siyo ya wachezaji maana wenyewe mamefanya sehemu yao.  Ni sifuri kwa sera yetu ya michezo na utamaduni. Bunge lazima lijadili hili na kuwekea maamuzi mazito!

From: Stephen Ruvuga <saruvuga@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 12 August 2012, 16:48
Subject: Re: [wanabidii] Congrats East Africans for winning London 2012 Marathon

Kwa upande wetu Tanzania, haya ni mavuno ya utamaduni unaojengeka kwa  kasi wa kuchukua kila kitu kwa wepesi tu, mizaha na kubabaishababaisha kupita kiasi! Kwetu, viwango vidogo tunavyofikia tunachukua kama ni mafanikio makubwa ya kuigwa!! Matokeo yake ni kurudi nyuma kwa karibu kila kitu; kimichezo, kushuka kielimu huku tukijivunia kujua kiingereza tu; kutojali uhai wa binadamu kama inavyojidhihirisha katika ajali za kila siku zisizo na idadi; kutoheshimiana na kutoheshimu taratibu za kawaida tu; ndiyo maana mtu anaweza kupaki gari katikati ya barabara na kuanza kuongea  na mwenzake bila kujali analeta usumbufu kwa wengine; ubinafsi unaozaa rushwa kila kona na ufisadi uliopindukia huku watuhumiwa na washtakiwa wakiandaliwa zulia jekundu; ,.................orodha ni ndefu! Mmomonyoko huu unatupeleka pabaya na ni wakati wa kujitafakari.

Kutoka na sifuri katika olympic ni kiashiria tu cha hayo ya juu lakini walau tujivune kwamba Afrika Mashariki tumewakilishwa na Kenya waliochukua medali 11 mpaka sasa hata zaidi ya Afrika Kusini!!!!!
 
________________________________________________________________________________
From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 12 August 2012, 16:28
Subject: RE: [wanabidii] Congrats East Africans for winning London 2012 Marathon

Mhariri ruksa.
 
Subject: Re: [wanabidii] Congrats East Africans for winning London 2012 Marathon
To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
From: deobalile@yahoo.com
Date: Sun, 12 Aug 2012 13:12:41 +0000

Matinyi tafadhali naomba ruhusa kutumia comment yako hii juu ya mashindano ya olympic kwa Watanzania wetu.

Sitaki kuiba kazi za watu pasi ruhusa yao.

Balile
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 12 Aug 2012 12:58:25 +0000
To: Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>; Mabadiliko<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Congrats East Africans for winning London 2012 Marathon

Phares,
Sisi kama taifa hatuna roho ya ushindani wala uzalendo; tumejaa uswahili-swahili tu. Tuanze na kubadili sera ya michezo na uongozi wa vyombo vyote vya michezo. Tuanzishe mfuko wa michezo na shule maalum za michezo, kambi za majeshi maalum kwa michezo na vituo vya jumuiya mitaani na vijijini. Tunahitaji kutumia nguvu, ubabe na udikteta kwenye kujenga michezo kama kweli tunataka kufanikiwa. Tanzania haiwezi kufanikiwa kwenye chochote bila viboko kutumika ili mradi mfumo huo wa viboko uwe na maendeleo na malengo. Watu wanawaza posho tu. Ni aibu kubwa kwa taifa letu. Jamaika yenye watu milioni tatu imezoa medali kama uchizi na siye hata kukaribia haikuwezekana. Kenya na Ethiopia wamefanya kufuru kwenye riadha na siye hata dalili hamna. Uswahili mwingi mno.
Matinyi.
 
> From: magesa@hotmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 12 Aug 2012 12:33:05 +0000
> Subject: [wanabidii] Congrats East Africans for winning London 2012 Marathon
>
> Congratulations to East African runners for winning top spots in London 2012 Olympics.
>
> Gold: S.Kiprotich 2.08.01 Uganda
> Silver: Kirui 2.08.26 Kenya
> Bronze: W.Kiprotich2.09.36 Kenya
>
> Our Tanzanian runners finished at no. 33. F. Mussa 2.17.38 and our team captain Samson Ramadhani took 2.24.52 finished the race at no. 66, Congratulations for finishing the race some started but did not finish, some are still running.
>
> We Tanzanians have a lesson to learn from our fellow East Africans.
>
> Proud to be East African.
>
> Hope we will do better in Rio 2016.
>
> May God Bless Tanzania, May God
>
> Phares Magesa.
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment